Native Bible

Psalms 116:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana.

Psalms 116:13 in English

Psalms 116:13 · Berean Standard Bible

I will lift the cup of salvation and call on the name of the LORD.

Context

11Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.” 12Nimrudishie Bwana nini kwa wema wake wote alionitendea? 13Nitakiinua kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana. 14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote. 15Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.