Zaburi 116:15
Psalms 116:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Bwana.
Psalms 116:15 in English
Psalms 116:15 · Berean Standard Bible
Precious in the sight of the LORD is the death of His saints.
Context
13Nitakiinua kikombe cha wokovu
na kulitangaza jina la Bwana. 14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana
mbele za watu wake wote. 15Kifo cha watakatifu kina thamani
machoni pa Bwana. 16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
mimi ni mtumishi wako,
mwana wa mjakazi wako;*
umeniweka huru
toka katika minyororo yangu. 17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru
na kuliita jina la Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.