Native Bible

Psalms 116:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako;* umeniweka huru toka katika minyororo yangu.

Psalms 116:16 in English

Psalms 116:16 · Berean Standard Bible

Truly, O LORD, I am Your servant; I am Your servant, the son of Your maidservant; You have broken my bonds.

Context

14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote. 15Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Bwana. 16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako;* umeniweka huru toka katika minyororo yangu. 17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana. 18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.