Zaburi 116:18
Psalms 116:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote,
Psalms 116:18 in English
Psalms 116:18 · Berean Standard Bible
I will fulfill my vows to the LORD in the presence of all His people,
Context
16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
mimi ni mtumishi wako,
mwana wa mjakazi wako;*
umeniweka huru
toka katika minyororo yangu. 17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru
na kuliita jina la Bwana. 18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana
mbele za watu wake wote, 19katika nyua za nyumba ya Bwana,
katikati yako, ee Yerusalemu.
Msifuni Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.