Native Bible

Psalms 116:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana.

Psalms 116:17 in English

Psalms 116:17 · Berean Standard Bible

I will offer to You a sacrifice of thanksgiving and call on the name of the LORD.

Context

15Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa Bwana. 16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako;* umeniweka huru toka katika minyororo yangu. 17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana. 18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote, 19katika nyua za nyumba ya Bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.