Native Bible

Psalms 116:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika nyua za nyumba ya Bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Bwana.

Psalms 116:19 in English

Psalms 116:19 · Berean Standard Bible

in the courts of the LORD’s house, in your midst, O Jerusalem. Hallelujah!*

Context

17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana. 18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote, 19katika nyua za nyumba ya Bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.