Native Bible

Psalms 116:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili niweze kutembea mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai.

Psalms 116:9 in English

Psalms 116:9 · Berean Standard Bible

I will walk before the LORD in the land of the living.

Context

7Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 8Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa, 9ili niweze kutembea mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai. 10Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.” 11Katika taabu yangu nilisema, “Wanadamu wote ni waongo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.