Zaburi 116:7
Psalms 116:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako.
Psalms 116:7 in English
Psalms 116:7 · Berean Standard Bible
Return to your rest, O my soul, for the LORD has been good to you.
Context
5Bwana ni mwenye neema na haki,
Mungu wetu ni mwingi wa huruma. 6Bwana huwalinda wanyenyekevu,
nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa. 7Ee nafsi yangu, tulia tena,
kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 8Kwa kuwa wewe, Ee Bwana,
umeniokoa nafsi yangu na mauti,
macho yangu kutokana na machozi,
miguu yangu kutokana na kujikwaa, 9ili niweze kutembea mbele za Bwana,
katika nchi ya walio hai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.