Native Bible

Psalms 116:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.

Psalms 116:6 in English

Psalms 116:6 · Berean Standard Bible

The LORD preserves the simplehearted; I was helpless, and He saved me.

Context

4Ndipo nikaliitia jina la Bwana: “Ee Bwana, niokoe!” 5Bwana ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma. 6Bwana huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa. 7Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 8Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.