Zaburi 116:4
Psalms 116:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo nikaliitia jina la Bwana: “Ee Bwana, niokoe!”
Psalms 116:4 in English
Psalms 116:4 · Berean Standard Bible
Then I called on the name of the LORD: “O LORD, deliver my soul!”
Context
2Kwa sababu amenitegea sikio lake,
nitamwita siku zote za maisha yangu. 3Kamba za mauti zilinizunguka,
maumivu makuu ya kuzimu yalinipata,
nikalemewa na taabu na huzuni. 4Ndipo nikaliitia jina la Bwana:
“Ee Bwana, niokoe!” 5Bwana ni mwenye neema na haki,
Mungu wetu ni mwingi wa huruma. 6Bwana huwalinda wanyenyekevu,
nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.