Zaburi 116:2
Psalms 116:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu.
Psalms 116:2 in English
Psalms 116:2 · Berean Standard Bible
Because He has inclined His ear to me, I will call on Him as long as I live.
Context
1Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu;
amesikia kilio changu ili anihurumie. 2Kwa sababu amenitegea sikio lake,
nitamwita siku zote za maisha yangu. 3Kamba za mauti zilinizunguka,
maumivu makuu ya kuzimu yalinipata,
nikalemewa na taabu na huzuni. 4Ndipo nikaliitia jina la Bwana:
“Ee Bwana, niokoe!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.