Native Bible

Psalms 116:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie.

Psalms 116:1 in English

Psalms 116:1 · Berean Standard Bible

I love the LORD, for He has heard my voice— my appeal for mercy.

Context

1Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie. 2Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu. 3Kamba za mauti zilinizunguka, maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, nikalemewa na taabu na huzuni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.