Native Bible

Psalms 116:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa,

Psalms 116:8 in English

Psalms 116:8 · Berean Standard Bible

For You have delivered my soul from death, my eyes from tears, my feet from stumbling.

Context

6Bwana huwalinda wanyenyekevu, nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa. 7Ee nafsi yangu, tulia tena, kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 8Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa, 9ili niweze kutembea mbele za Bwana, katika nchi ya walio hai. 10Niliamini, kwa hiyo nilisema, “Mimi nimeteseka sana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.