Native Bible

Psalms 115:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia.

Psalms 115:15 in English

Psalms 115:15 · Berean Standard Bible

May you be blessed by the LORD, the Maker of heaven and earth.

Context

13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa. 14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu. 15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia. 16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, lakini dunia amempa mwanadamu. 17Sio wafu wanaomsifu Bwana, wale washukao mahali pa kimya,*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.