Native Bible

Psalms 115:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sio wafu wanaomsifu Bwana, wale washukao mahali pa kimya,*

Psalms 115:17 in English

Psalms 115:17 · Berean Standard Bible

It is not the dead who praise the LORD, nor any who descend into silence.

Context

15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia. 16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, lakini dunia amempa mwanadamu. 17Sio wafu wanaomsifu Bwana, wale washukao mahali pa kimya,* 18bali ni sisi tunaomtukuza Bwana, sasa na hata milele. Msifuni Bwana.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.