Zaburi 115:16
Psalms 115:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, lakini dunia amempa mwanadamu.
Psalms 115:16 in English
Psalms 115:16 · Berean Standard Bible
The highest heavens belong to the LORD, but the earth He has given to mankind.
Context
14Bwana na awawezeshe kuongezeka,
ninyi na watoto wenu. 15Mbarikiwe na Bwana
Muumba wa mbingu na dunia. 16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana,
lakini dunia amempa mwanadamu. 17Sio wafu wanaomsifu Bwana,
wale washukao mahali pa kimya,* 18bali ni sisi tunaomtukuza Bwana,
sasa na hata milele.
Msifuni Bwana.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.