Native Bible

Psalms 115:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu.

Psalms 115:14 in English

Psalms 115:14 · Berean Standard Bible

May the LORD give you increase, both you and your children.

Context

12Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni, 13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa. 14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu. 15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia. 16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, lakini dunia amempa mwanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.