Native Bible

Psalms 115:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa.

Psalms 115:13 in English

Psalms 115:13 · Berean Standard Bible

He will bless those who fear the LORD— small and great alike.

Context

11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao. 12Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni, 13atawabariki wale wanaomcha Bwana, wadogo kwa wakubwa. 14Bwana na awawezeshe kuongezeka, ninyi na watoto wenu. 15Mbarikiwe na Bwana Muumba wa mbingu na dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.