Zaburi 115:11
Psalms 115:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
Psalms 115:11 in English
Psalms 115:11 · Berean Standard Bible
You who fear the LORD, trust in the LORD! He is their help and shield.
Context
9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 12Bwana anatukumbuka na atatubariki:
ataibariki nyumba ya Israeli,
ataibariki nyumba ya Aroni, 13atawabariki wale wanaomcha Bwana,
wadogo kwa wakubwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.