Zaburi 115:9
Psalms 115:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.
Psalms 115:9 in English
Psalms 115:9 · Berean Standard Bible
O Israel,* trust in the LORD! He is their help and shield.
Context
7zina mikono, lakini haziwezi kupapasa,
zina miguu, lakini haziwezi kutembea;
wala koo zao haziwezi kutoa sauti. 8Wale wanaozitengeneza watafanana nazo,
vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.