Native Bible

Psalms 115:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.

Psalms 115:8 in English

Psalms 115:8 · Berean Standard Bible

Those who make them become like them, as do all who trust in them.

Context

6zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa; 7zina mikono, lakini haziwezi kupapasa, zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala koo zao haziwezi kutoa sauti. 8Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 9Ee nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao. 10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana, yeye ni msaada na ngao yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.