Zaburi 115:12
Psalms 115:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana anatukumbuka na atatubariki: ataibariki nyumba ya Israeli, ataibariki nyumba ya Aroni,
Psalms 115:12 in English
Psalms 115:12 · Berean Standard Bible
The LORD is mindful of us; He will bless us. He will bless the house of Israel; He will bless the house of Aaron;
Context
10Ee nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 11Ninyi mnaomcha, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao. 12Bwana anatukumbuka na atatubariki:
ataibariki nyumba ya Israeli,
ataibariki nyumba ya Aroni, 13atawabariki wale wanaomcha Bwana,
wadogo kwa wakubwa. 14Bwana na awawezeshe kuongezeka,
ninyi na watoto wenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.