Native Bible

Psalms 111:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma.

Psalms 111:4 in English

Psalms 111:4 · Berean Standard Bible

He has caused His wonders to be remembered; the LORD is gracious and compassionate.

Context

2Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. 5Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele. 6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.