Native Bible

Psalms 111:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine.

Psalms 111:6 in English

Psalms 111:6 · Berean Standard Bible

He has shown His people the power of His works by giving them the inheritance of the nations.

Context

4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. 5Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele. 6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. 7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika. 8Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.