Native Bible

Psalms 111:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.

Psalms 111:8 in English

Psalms 111:8 · Berean Standard Bible

They are upheld forever and ever, enacted in truth and uprightness.

Context

6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. 7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika. 8Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu. 9Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru agano lake milele: jina lake ni takatifu na la kuogopwa. 10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.