Zaburi 111:7
Psalms 111:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika.
Psalms 111:7 in English
Psalms 111:7 · Berean Standard Bible
The works of His hands are truth and justice; all His precepts are trustworthy.
Context
5Huwapa chakula wale wanaomcha,
hulikumbuka agano lake milele. 6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake,
akiwapa nchi za mataifa mengine. 7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki,
mausia yake yote ni ya kuaminika. 8Zinadumu milele na milele,
zikifanyika kwa uaminifu na unyofu. 9Aliwapa watu wake ukombozi,
aliamuru agano lake milele:
jina lake ni takatifu na la kuogopwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.