Native Bible

Psalms 111:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele.

Psalms 111:5 in English

Psalms 111:5 · Berean Standard Bible

He provides food for those who fear Him; He remembers His covenant forever.

Context

3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. 5Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele. 6Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. 7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.