Native Bible

Psalms 111:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima.

Psalms 111:3 in English

Psalms 111:3 · Berean Standard Bible

Splendid and majestic is His work; His righteousness endures forever.

Context

1Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. 2Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. 5Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.