Native Bible

Psalms 111:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari.

Psalms 111:2 in English

Psalms 111:2 · Berean Standard Bible

Great are the works of the LORD; they are pondered by all who delight in them.

Context

1Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. 2Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. 4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.