Native Bible

Psalms 111:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko.

Psalms 111:1 in English

Psalms 111:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah! * I will give thanks to the LORD with all my heart in the council of the upright and in the assembly.

Context

1Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. 2Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 3Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.