Native Bible

Psalms 108:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga.

Psalms 108:4 in English

Psalms 108:4 · Berean Standard Bible

For Your loving devotion extends beyond the heavens, and Your faithfulness reaches to the clouds.

Context

2Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko. 3Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 4Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga. 5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote. 6Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.