Zaburi 108:3
Psalms 108:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.
Psalms 108:3 in English
Psalms 108:3 · Berean Standard Bible
I will praise You, O LORD, among the nations; I will sing Your praises among the peoples.
Context
1Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti;
nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote. 2Amka, kinubi na zeze!
Nitayaamsha mapambazuko. 3Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa;
nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 4Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu;
uaminifu wako unazifikia anga. 5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu,
utukufu wako na uenee duniani kote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.