Native Bible

Psalms 108:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote.

Psalms 108:5 in English

Psalms 108:5 · Berean Standard Bible

Be exalted, O God, above the heavens; may Your glory cover all the earth.

Context

3Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 4Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga. 5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote. 6Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa. 7Mungu amenena kutoka patakatifu pake: “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi na kulipima Bonde la Sukothi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.