Native Bible

Psalms 108:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.

Psalms 108:6 in English

Psalms 108:6 · Berean Standard Bible

Respond and save us with Your right hand, that Your beloved may be delivered.

Context

4Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga. 5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote. 6Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa. 7Mungu amenena kutoka patakatifu pake: “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi na kulipima Bonde la Sukothi. 8Gileadi ni yangu, Manase ni yangu, Efraimu ni kofia yangu ya chuma, nayo Yuda ni fimbo yangu ya utawala.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.