Native Bible

Psalms 108:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.

Psalms 108:2 in English

Psalms 108:2 · Berean Standard Bible

Awake, O harp and lyre! I will awaken the dawn.

Context

1Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote. 2Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko. 3Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 4Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.