Native Bible

Psalms 108:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.

Psalms 108:1 in English

Psalms 108:1 · Berean Standard Bible

My heart is steadfast, O God; I will sing and make music with all my being.*

Context

1Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote. 2Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko. 3Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.