Native Bible

Psalms 107:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi.

Psalms 107:7 in English

Psalms 107:7 · Berean Standard Bible

He led them on a straight path to reach a city where they could live.

Context

5Walikuwa na njaa na kiu, nafsi zao zikadhoofika. 6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi. 8Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 9kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.