Native Bible

Psalms 107:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.

Psalms 107:9 in English

Psalms 107:9 · Berean Standard Bible

For He satisfies the thirsty and fills the hungry with good things.

Context

7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi. 8Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 9kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. 10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo, 11kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.