Native Bible

Psalms 107:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana.

Psalms 107:11 in English

Psalms 107:11 · Berean Standard Bible

because they rebelled against the words of God and despised the counsel of the Most High.

Context

9kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. 10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo, 11kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana. 12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. 13Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.