Native Bible

Psalms 107:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.

Psalms 107:13 in English

Psalms 107:13 · Berean Standard Bible

Then they cried out to the LORD in their trouble, and He saved them from their distress.

Context

11kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana. 12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. 13Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 14Akawatoa katika giza na huzuni kuu na akavunja minyororo yao. 15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.