Zaburi 107:14
Psalms 107:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawatoa katika giza na huzuni kuu na akavunja minyororo yao.
Psalms 107:14 in English
Psalms 107:14 · Berean Standard Bible
He brought them out of darkness and the shadow of death and broke away their chains.
Context
12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu;
walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. 13Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawaokoa kutoka taabu yao. 14Akawatoa katika giza na huzuni kuu
na akavunja minyororo yao. 15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba
na kukata mapingo ya chuma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.