Zaburi 107:12
Psalms 107:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia.
Psalms 107:12 in English
Psalms 107:12 · Berean Standard Bible
He humbled their hearts with hard labor; they stumbled, and there was no one to help.
Context
10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu,
wafungwa wakiteseka katika minyororo, 11kwa sababu walikuwa wameasi
dhidi ya maneno ya Mungu
na kudharau shauri
la Aliye Juu Sana. 12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu;
walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. 13Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawaokoa kutoka taabu yao. 14Akawatoa katika giza na huzuni kuu
na akavunja minyororo yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.