Zaburi 107:10
Psalms 107:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo,
Psalms 107:10 in English
Psalms 107:10 · Berean Standard Bible
Some sat in darkness and in the shadow of death, prisoners in affliction and chains,
Context
8Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 9kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu,
na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. 10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu,
wafungwa wakiteseka katika minyororo, 11kwa sababu walikuwa wameasi
dhidi ya maneno ya Mungu
na kudharau shauri
la Aliye Juu Sana. 12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu;
walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.