Native Bible

Psalms 107:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,

Psalms 107:8 in English

Psalms 107:8 · Berean Standard Bible

Let them give thanks to the LORD for His loving devotion and His wonders to the sons of men.

Context

6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi. 8Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 9kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. 10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.