Native Bible

Psalms 107:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.

Psalms 107:6 in English

Psalms 107:6 · Berean Standard Bible

Then they cried out to the LORD in their trouble, and He delivered them from their distress.

Context

4Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 5Walikuwa na njaa na kiu, nafsi zao zikadhoofika. 6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. 7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi. 8Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.