Zaburi 107:5
Psalms 107:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walikuwa na njaa na kiu, nafsi zao zikadhoofika.
Psalms 107:5 in English
Psalms 107:5 · Berean Standard Bible
They were hungry and thirsty; their soul fainted within them.
Context
3wale aliowakusanya kutoka nchi mbalimbali,
kutoka mashariki na magharibi,
kutoka kaskazini na kusini. 4Baadhi yao walitangatanga jangwani,
hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 5Walikuwa na njaa na kiu,
nafsi zao zikadhoofika. 6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawaokoa kutoka taabu yao. 7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa
hadi mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.