Native Bible

Psalms 107:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wale aliowakusanya kutoka nchi mbalimbali, kutoka mashariki na magharibi, kutoka kaskazini na kusini.

Psalms 107:3 in English

Psalms 107:3 · Berean Standard Bible

and gathered from the lands, from east and west, from north and south.*

Context

1Mshukuruni Bwana, kwa kuwa yeye ni mwema, upendo wake wadumu milele. 2Waliokombolewa wa Bwana na waseme hivi, wale aliowaokoa kutoka mkono wa adui, 3wale aliowakusanya kutoka nchi mbalimbali, kutoka mashariki na magharibi, kutoka kaskazini na kusini. 4Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 5Walikuwa na njaa na kiu, nafsi zao zikadhoofika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.