Native Bible

Psalms 107:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi.

Psalms 107:4 in English

Psalms 107:4 · Berean Standard Bible

Some wandered in desert wastelands, finding no path to a city in which to dwell.

Context

2Waliokombolewa wa Bwana na waseme hivi, wale aliowaokoa kutoka mkono wa adui, 3wale aliowakusanya kutoka nchi mbalimbali, kutoka mashariki na magharibi, kutoka kaskazini na kusini. 4Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 5Walikuwa na njaa na kiu, nafsi zao zikadhoofika. 6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.