Zaburi 107:16
Psalms 107:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba na kukata mapingo ya chuma.
Psalms 107:16 in English
Psalms 107:16 · Berean Standard Bible
For He has broken down the gates of bronze and cut through the bars of iron.
Context
14Akawatoa katika giza na huzuni kuu
na akavunja minyororo yao. 15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma,
na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba
na kukata mapingo ya chuma. 17Wengine wakawa wapumbavu kutokana na uasi wao,
wakapata mateso kwa sababu ya uovu wao. 18Wakachukia kabisa vyakula vyote,
wakakaribia malango ya mauti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.