Native Bible

Psalms 107:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengine wakawa wapumbavu kutokana na uasi wao, wakapata mateso kwa sababu ya uovu wao.

Psalms 107:17 in English

Psalms 107:17 · Berean Standard Bible

Fools, in their rebellious ways, and through their iniquities, suffered affliction.

Context

15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba na kukata mapingo ya chuma. 17Wengine wakawa wapumbavu kutokana na uasi wao, wakapata mateso kwa sababu ya uovu wao. 18Wakachukia kabisa vyakula vyote, wakakaribia malango ya mauti. 19Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.